Misri imeorodheshwa kuwa jeshi lenye nguvu zaidi barani Afrika na ya 15 ulimwenguni. Orodha hiyo ni kwa hisani ya Global Firepower.